Meneja wa bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kulia) akizungumza jambo kwa msisitizo leo wakati akitangaza safari ya mikoa mitano kwa wasanii walioshinda tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards katika ukumbi wa mikutano kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).Katikati ni Mratibu wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kutoka Basata,Angelo Luhala na kushoto ni Mkurugezi wa Prime Time Promotions,Godfrey Kusaga.

Msanii wa Muziki wa HipHop,Joh Makini akiteta jambo na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe wakati wa mkutano na waandishi wa habari kutambulisha safari yao katika mikoa mitano hapa nchini.

Picha ya Pamoja.
Baada ya Mchakato wa Tunzo za Muziki za Tanzania zinazojulikana kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards zilizokuwa na mafanikio makubwa Mwaka huu, Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Kilimanjaro premium Lager imeona ni vyema kuwapa fursa Wasanii walioibuka washindi pamoja na baadhi ya wateule kufanya matamasha ya muziki katika baadhi ya mikoa ya Tanzania kama ishara ya shukrani kwa wapiga kura wao.

Wasanii wa Muziki walioibuka Washindi wa Tunzo za 2011
1. 20%
2. Mapacha Watatu
3. Mpoki
4. Joh Makini
5. Hard Man
6. C Pwaa
7. Khalid Chokoraa
8. Lady Jay Dee
9. Linah
10. Barnaba
11. JCB
12. Jahazi Modern Taarab
13. Ben Po
Baadhi ya Wateule
1. Godzilla
2. Sam wa Ukweli
3. Mwasiti
4. Mataluma.
Wawezeshaji:
Kilimanjaro Premium Lager inaendelea kufanya kazi na makampuni mbalimbali katika katika kufanikisha safari hizi . Makampuni haya ni pamoja na:
1. Prime Time Promotion – Wasimamizi wakuu wa safari za Mbeya, Dodoma, Mwanza na Moshi.
2. Entertainment Masters – Wasimamizi wa Shughuli ya Dar .
Mwaka huu Kilimanjaro kama mdhamini imeamua kuwarudishia wadau na wapenzi wa muziki wa Tanzania Safari za Shukrani.
Kwa Tamasha la Jumamosi Viwanja vya Posta Kijitomasha hapa Dar es salaam litasindikizwa na Wateule wa wimbo bora wa Afrika Mashariki Radio and Weisal pamoja na Bebe Cool kutoka Uganda.

No comments:
Post a Comment