HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 16, 2011

HUYU JAMAA KWELI NI NOMA

Huyu jamaa anakwenda kwa jina la Iman Carson, ni muigizaji na mchekeshaji. Clip hii niliiona kwenye stesheni ya luninga ya Al Jazeera, katika kipindi cha Listening Post, nikabaki nacheka mwenyewe kama mwendawazimu. Nimeona si vibaya tukaambukizana kicheko hiki. Hapa bwana Carson ameipinduapindua hotuba ya rais Obama, hotuba iliyokuwa ikihusu kuuawa kwa mkuu wa genge la kigaidi la Al Qaeda, Osama bin Laden.
Sasa tazama hotuba halisi ya rais Obama. Huyu jamaa angekuwa katika nchi fulani fulani wangekuwa washampoteza.
Video hizi zimeletwa na Mdau Bob Sankofa
wa Link

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad