HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 18, 2011

GROUP LA KANDANDA NDANI YA MTANDAO JAMII WA FACEBOOK


Marketing ni kama kelele za kichaa, zinazomuhusu anazichukua na kuzifanyia kazi ambae hzaimuhusu anakuona ovyoooooooo habari zenu wakubwa.
kama itawezekana kwenye blogu zenu za jamii naomba muwakaribishe wadau wapenda soka katika group ya kandanda. yawezekana ikawa group yenye fujo zote za football africa mashariki.

Zaidi tukutane maeneo yetu..yale yale (othman usije na jezi ya liverpool).

Ujumbe sammbamba na picha:

Karibuni katika familia ya wanakandanda sehemu ambayo (24hrs+ 4hrs)- 4hrs wanaongelea football tuu aka kandanda..huko Manchester kashachukua ubingwa wa ulaya siiiiiikuuu nyiiiingiiiii.... ila tu tarehe 28 wanaenda kamilisha ratiba..and vice versa is true kama unataka.


the world of football, koment zikikuudhi bamiza aifoni yako au lapto afu njoo mazese tutakuuzia..ila no lugha chafu huku.

Just click a 'Join Group' utakaribishwa na wadau zaidi ya 700

nadhani hiyo itatosha kabisaaaaaa.....

Patoo Dumuu 
(Patrick Evra wa Man U ya Bongo)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad