mpaka watu wavunjike miguu ndio mjue kwamba haya mashimo yanatakiwa kuzibwa.kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilimnasa jamaa huyu aliekuwa anataka kuvuka baraabara huku akiongea na simu akiingia kwenye hili shimo lililopo mtaa kwa Makunganya leo.
tehe tehe tehe teheeeee, hii kali. Pole kaka.
ReplyDelete