Kaka habari
naomba kuambatanisha picha hii ya tukio la Jumamosi pale viwanja vya mlimani city, katika lile tukio la Walk for Water,liloandaliwa na kampuni ya simu ya TiGo kushirikiana na baadhi ya makampuni mengineyo.pichani ni wafanyakazi wa kampuni ya Strategis Insurance.
wako mdau.
No comments:
Post a Comment