
Barabarani Maji ndio kama kazi.

Utadhania ni Bwawa flani hivi,lakini kumbe ni maji ya mvua yaliyochanganyika na yale ya sehemu sehemu zetu zileeeeee.......


Kama unatembea kwa miguu halafu unakutana na haya maji kwenye nguo zako,Wallah tena huzivai tena maana ni harufu mtindo mmoja.

Kiti kimefanywa kufunguliwa kabisa ili mambo yaweze kwenda sawa.

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa mara baada ya Neema ya Mvua kutushukia jijini Dar leo.
No comments:
Post a Comment