
hii ni ile njia ya Diamond Jubilee kwenye kona kama ukitokea mjini.

Gari ikilazimika kupita kulikwepa shimozz lililopo barabarani katika mtaa uliopo nyuma ya Mahakama ya Kisutu.

Cheki lilivyochimbika,hivi likiingia tairi la gari lako humu itakuwaje??Wataalam wa Barabara msisubiri kauli ya Mkuu au tume ya kurekebisha mambo kama haya,fanyeni kazi.
No comments:
Post a Comment