Hivi ndivyo unavyoonekana mji wa Bukoba mkoani Kagera ambapo leo ndiko Libeneke la Mtaa Kwa Mtaa lipo likiendeleza Libeneke kama kawa.Wadau wa Bukoba Mpoo hapooo?????
I LOVE BK....
ReplyDeletehAKA KA MJI KADOGO LAKINI KANAONEKANA KASAFI SANA.
ReplyDeleteMIE HUPENDA KUTEMBELEA BK WAKAZI WAKE WAKARIMU SANA PAMOJA NA KUWA LUGHAKIDOGO HUWAPIGA CHENGA YA MWILI LAKINI UJUMBA HUELEWEKA