HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 16, 2011

MAKAMU WA RAIS AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA KUHIFADHI WANYAMA PORI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akihutubia washiriki waliohudhuria kwenye ghafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Taasisi ya kusaidia kuhifadhi wanyama pori Tanzania katika Hoteli ya Movenpick Dar es salaam yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mfuko wa kuhifadhi wanyama pori.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokea mchango kutoka kwa Mpiga Picha Mkongwe Madanga Shaban Madanga, kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia kuhifadhi wanyama pori kwenye ghafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Taasisi ya kusaidia kuhifadhi wanyama pori Tanzania katika Hoteli ta Movenpick Dar es salaam jana usiku, yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia kuhifadhi wanyama pori.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige katikati, wakiwa katika picha ya pamoja na waliochangia mfuko wa kusaidia kuhifadhi wanyama pori wakati wa ghafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Taasisi ya kusaidia kuhifadhi wanyama pori Tanzania katika Hoteli ya Movenpick Dar es salaam jana usiku.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad