HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 2, 2011

kip left mpya ya mikocheni a mbele ya daraja la kawe

Takribani wiki moja na nusu sasa tangu kip left hii mpya izungushiwe Ribbon bila kukamilishwa kwa uzinduzi wake wake.sasa sijui kuna tatizo gani,au sijui kuna kiongozi aliahidi kuja kuizindua sasa ndio anaesubiriwa??? maana mambo yamekuwa kimya kwa muda mrefu kidogo sasa bila taarifa zozote.
Kip Left ikionekana kumeremeta Ribbon ikiashiria kuwa tayari kwa uzinduzi rasmi.
Magali yakilazimika kupita upande mmoja wa barabara huku wakisubiria uzinduzi wa kip left mpya ambayo haijafahamika rasmi ni lini itafungulia rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad