HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 12, 2011

KIDUMU NA JIDE WAANGUSHA BONGE MOJA LA SHOO @ NYUMBANI LOUNGE WIKIENDI HII

Jide akifanya mambo yake.
Kidumu nae hakuwa nyuma kuwapagawisha mashabiki lukuki waliofurika Nyumbani Lounge.
Jide akiimba wimbo waliopiga pamoja na Kidumu,huku Kidumu akipiga goti kuashiria kama kuomba msamaha.nyimbo inaitwa "NISAMEHE".
Jide na waimbaji wake.
Kidumu akizikaanga chips (kupiga drums) kisawasawa katika shoo waliofanya na Jide.
Jide na safu nzima ya Machozi Band.
Kidumu na Band yake wakifanya kweli.
Nyomi la kifa mtu ndani ya Nyumbani Lounge.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad