Hii ni Barabara kubwa iendayo Mabibo ukitokea Big Brother Manzese.
Fusso likiwa limesheni Mzigo wa ndizi kutoka mikoani lilisubiria zamu yake ya kwenda kushusha ndani ya soko la Mahakama ya Ndizi Mabibo.
Mabasi ya Mbaruku yalilokuwa yakifanya safari zake kati ya Dar - Lushoto mkoani Tanga yakiwa juu ya mawe pembezoni mwa barabara ya Mabibo.
No comments:
Post a Comment