HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 19, 2011

HII BARABARA SIJUI INAMATATIZO GANI??

maana kila siku ni mwendo wa mashimo tu kwa kwenda mbele,sasa sijui inamatatizo gani??

1 comment:

  1. sio ina matatizo gani mbona ni wazi tuu
    tatizo ni kuwa hakuna kiongozi anaepita huku
    hebu wasikierais wa jaaamihuri ya tz anakuja katiza hapo uone kama mkeka haujawekwa
    hiyo ndio tz zaidi ya uijuavyoooo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad