HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 28, 2011

ENEO LA MWANANYAMALA HOSPITAL

Sehemu ya lango kuu la kuingia hospital ya Mwananyamala kama lilivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
Yaani ni Full mashimo katika barabara hii ambayo iko bize sana kwa uwingi wa madaladala na magari binafi bila kusahau magari yanayobeba wagonjwa.
si mnaona eehh...!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad