
Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia) akimpa chakula mtoto Husna Abdalah wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya watoto wakipiga picha na Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia) na baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment