hapo kuna mabishano makubwa sana,kwani dereva wa hiyo daladala hapo kushoto alikuwa akirudi nyuma bila kuangalia na kujikuta akiliingia hili lori lililokuwa limesimama kutokana na kupatwa na hitilafu kidogo.hapa ni maeneo ya Temeke kwa Sokota.
hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
No comments:
Post a Comment