HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 3, 2011

Shy-Rose Bhanji aimwagia CHANETA mkwanja wa Zawadi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Tanzania (CHANETA), Shy-Rose Bhanji akikabidhi jumla ya sh. milioni 1.1 kwa Mwenyekiti wa CHANETA Taifa, Anna Bayi kwa ajili ya kuwapatia mshindi wa kwanza hadi wanne, wa Ligi ya daraja la pili ya netiboli, iliyomalizika mwezi uliopita mjini Morogoro. Timu zilizopata ni mshindi wa kwanza Mbeya sh. (500,000), Mshindi wa pili Polisi Arusha (Sh. 300,000),Mshindi wa tatu, Polisi Pwani (sh. 200,000) na JKT Ruvu iliyopata sh. 100,000 kwa kushika nafasi ya nne.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad