hiki ni kituo cha Mtoni Mtongani,Kilwa rodi ambapo daladala zinashindwa kabisa kusimama katika sehemu husika ya vituo kama kameta yetu ilivyokutana na tukio hili.
Maprngo ya mifuniko katika Mtaro pembezoni mwa kituo cha daladala ziendazo Temeke pale Kariakoo.
hapa napo ni mpango ule uleeee.....
No comments:
Post a Comment