unaona wenzako wamekaa kwenye foleni halafu na wewe unatoka huko ulikotoka na kuja kuwachomekea kwa mbele.inamaana waliokaa kwenye foleni hawana haraka????? wewe mwenye gari hii tafadhali acha hii mambo maana sio mpango wala nini.
No comments:
Post a Comment