HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 20, 2011

haya ndio maisha ya watoto wa mitaani

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa iliwanasa watoto hawa ambao wanaishi katika mazingira magumu wakiwa wamelala katika kibaraza cha jengo la Benjamin William Mkapa Tower lililopo maeneo ya Posta Mpya.sijui kifanyike kitu gani ili kuweza kuwsaidia watoto kama hawa???

1 comment:

  1. Hapa kazi kweli kweli Serijkali yetu inategemea watu binafsi so watu binafsi wenyewe mafisadi cha zaidi hapa ni kuakikisha haki inatendeka na kuangalia wanawekwa sehemu malum ama wawe wana centre za kuwasaidia vyakula kwa mchana asubu na jioni hama hata sehemu za kulala

    Mdau nguli.Andrew

    ReplyDelete

Post Bottom Ad