HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 8, 2011

dr. bilal afungua kliniki ya watoto wenye ukimwi jijini mbeya

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Kliniki ya watoto wenye Ukimwi iliyojengwa Jijijni Mbeya na Abbot Fund wa kwanza kushoto ni Waziri wa Afya,Mh. Dr. Hadji Mponda ,wa tatu kutoka kushoto ni Bw.Robert Scott, Naibu Balozi wa Marekani nchini, wa nne kutoka kushoto ni Bw. Andy Wilson, Makamo wa Rais wa Abbot Fund nchini Tanzania na watano kutoka kushoto ni Bw. Michael Mizwa,Makamo wa Rais Mwandamizi wa Taasisi ya Kimataifa ya ugonjwa wa Ukimwi kwa watoto nchini Marekani, picha kwa hisani ya Smiley Pool.Hafla hiyo ilifanyika juzi Jana mchana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad