ONYESHO LA MAVAZI YA MBUNIFU JAMILA SWAI AKISINDIKIZWA NA BINTI AFRIKA, KIM DEAN NA FRANKO DESIGNS TAREHE 25 MWEZI WA PILI 2011 KATIKA HOTELI YA DOUBLE TREE BY HILTON
KIINGILIO NI KWA MUALIKO TU VILE VILE KUTAKUWA NA MAUZO YA JEWELERY, VIATU, COSMETICS, HANDBAGS KUTOKA KWA UNIQUE PEARL COLLECTION, MIMI’S COLLECTION, JACKYZ COSMETICS NA AMINA DESIGN PIA NGUO ZA WABUNIFU WA HAPA NYUMBANI ZITAUZWA
STYLE MOTO MOTO INADHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA LTD,I VIEW EDIA,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS LTD NA DOUBLE TREE BY HILTON
KWA MAWASILIANO KUHUSU KADI YA MUALIKO
SIMU – 0755 551077/0755804489
EMAIL – info@mitindohouse.org
WEBSITE – www.mitindohouse.org
No comments:
Post a Comment