

Bi. Harusi mtarajiwa,Hanifa Masaninga akiwa katulia tuuuliiiiiiii kufuatilia taratibu za MC wake ilikuhakikisha mambo yanakuwa poa. hushuli hii imefanyika usiku huu katika ukumbu wa Police Officers' Mess ukiopo masaki.

Dah.... Hanifa Akikata kekizzzz.

msosi time ndio kama hivi tena.

Mie kati nikiwa na Bi.Harusi mtarajiwa pamoja na Matroni wake.

Mdau Richie Richie Mtambarike pia alikuwepo kimsindikiza,ok poa hpe haoooo.

Senene kiliwa kwa chakula.
Duh.rangi si mchezo.shughuli kwa picha tu inadhihirisha imefana
ReplyDeleteHongera da Hanifa, umependeza! Nakutakia kila la kheri mbwiga.
ReplyDeleteJamani mmependeza sana.
ReplyDeleteDuh! liugonjwa la dada shamim (keki) si utani!
ReplyDeleteDuh! liugonjwa la dada shamim (keki) si utani!
ReplyDeletedada umependeza sana mpenzi rangi safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaana says fina
ReplyDeleteumependeza sana dada angu Hanifa, nakutakia kila la kheri katika maisha yenu mapya ya ndoa Mungu awatangule. sarafina
ReplyDelete