HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 3, 2011

mtoto akisaka vyake jalalani

kamera ya Mtaa Kwa Mtaa asubuhi ya leo imemnasha mtoto huyu akifukua fukua jalalani kutafuta vifaa ya kuchezea vilivyotupwa jalalani hapo.na nilipomuuliza ni kwanini yupo pale na wakati ule ulikuwa ni muda wa shuleni,alinijibu kwamba hasomi kwani bibi yake anaeishi nae hana uwezo wa kumsomesha.

1 comment:

  1. Hii ni kazi nzuri lakini isiishie kwenye mtandao. Habari kama hii mtumie mbunge wa jimbo hilo, tuma kwa ofisi ya Rais (hata wakiweka kapuni lakini message sent), Haki Elimu, pia tafuta vituo vya TV vinavyoweza kuwasilisha stori kwa hadhira pana. Huyu mtoto ana haki ya kupata elimu!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad