HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 13, 2011

artarial network tanzania yazindulia visiwani zanzibar

Mwenyekiti wa Mtandao wa ARTERIAL Tanzania,Laurian Kipeja akizungumza katika mkutano wa Uzinduzi wa Mtandao huo jana jioni katika hoteli ya Zanzibar Grand Palace,Zanzibar.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzibar,Mh. Abdillah Jihadi ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza machache na kuzindua rasmi Mtandao wa ARTERIAL Tanzania.wengine pichani ni Mwenyekiti mpya wa Mtandao huo kwa hapa nchini,Laurian Kipeja (kati) na kushoto ni Muwakilishi wa Mtandao huo kwa Afrika,Telesphore Mbabizo.
Mmoja wa Wajumbe wapya wa Mtandao huo,Bi. Sauda Simba akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo wa uzinduzi wa Mtandao wa ARTERIAL Tanzania pamoja kuchaguliwa kwa viongozi wapya wa Mtandao huo hapa nchini.
picha ya pamoja na Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad