
leo jiji la Mbeya lilipata neema kubwa sana ya kunyesha kwa mvua kubwa kidogo ambapo mara tu baada ya mvua hiyo,vijana wengi waliopo katika maeneo mbali mbali ya jiji hili,waliingia katika sehemu za maji yanayotembea na kuanza kutafuta mchanga kama walivyonaswa na kamera yetu mchana wa leo.


Watoto wakikusanya mchanga huo.

No comments:
Post a Comment