HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 7, 2011

kamera ya mtaa kwa mtaa ndani ya mji wa iringa leo

raundi abauti ya mnara wa mashujaa mjini Iringa.
kiota cha maraha cha Shooters pub.
Stendi ya Daladala ya Miyomboni ikiwa imechangamka kisawasawa leo.
ofisi za Vodacom Miyomboni.
Jengo la Tanesco mkoani Iringa.
Jengo la Manispaa ya Iringa.

Viota vipya vyazidi kushika kasi mkoani Iringa.
Nyanya,vitunguu nk. vinapatikana kwa wingi mkoani hapa.
Jamatini ya Iringa.
Mitaa ya Uhindini.
njia ya Msikiti mkuu wa Iringa.
barabara kuu iendayo Dodoma,huku kwa mbaali kikionekana kiota cha Kalenga Motel.wana Iringa mpoooooo.....??

3 comments:

  1. Dogo,
    Iringa hakuna maendeleo ambayo huingia yakakosa kuipitia. Ipo juu sana. Hapo hakuna mahoteli ya kitalii kama kasikazini licha ya Mbuga ya Taifa kuwepo. Bado kiota chenyewe cha ukweli kinakuja hapo Wilolesi, yaani Peacock Y I-town!
    Mdau

    ReplyDelete
  2. thanks for the pic mzee mji wangu huo
    Mdau South korea

    ReplyDelete
  3. jamani mimi huwa kuna kitu kinanitatiza Mbeya ni jiji lakini nikijaribu kulinganisha na Iringa naona kama Iringa imechangamka zaidi, kuanzia majengo, usafi, nk
    Sijui wenzangu mnaonaje?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad