HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 17, 2011

EA POTI YETU

singibodi sijui imewachoshaa mpaka wakaamua kuiacha wazi namna hii??

1 comment:

  1. c unajua kutoka kwa singibodi ni nafuu ya wasafiri kutokana na joto kali la hapo airport hamna kiyoyozi kwa hiyo hewa ipate kupita kwa njia hiyo ya uwazi ahaaa ahaaa mungu ibariki tanzania,sema kwa mimi mawazo yangu bora uwanja wetu sehemu za kusafiri zingekuwa na ulinzi kama kawaida sema tu ziwe (naked)kutokana na hali ya hewa ya kwetu na pia hatuna uwezo wa kuweka full a/c asanteni.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad