Mmoja wa wakurugenzi waandamizi wa Clous Media Group,Ruge Mutaba akimpa maelekezo mafupi Dj Aron.

Mratibu wa mambo ya Live wa Clouds TV Ruben Ndege a.k.a Ncha Kali akifafanua jambo kuhusiana na hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa kipindi kipya cha Clouds TV kiitwacho Bongo Access,mbele ya camera ya Clouds TV usiku wa kuamkia leo.
Msanii mahiri wa kizazi kipya,Beka Boy akiimba moja ya wimbo wake mbele ya wageni waalikwa kwenbye hafla hiyo ambayo ilirushwa Live kupitia Clouds TV.
Baadhi ya wasanii waliofika kushuhudia uzinduzi wa kipindi hicho,pichani kulia ni ,Amini kutoka THT,Ali Kiba,T.I.D pamoja na mdau mwingine.
Mtangazazi wa clouds FM,Dina Marios (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa taasisi ya Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka pamoja na Miss Tanzania 2010/2011 Genevieve Emmanuel wakifuatilia uzinduzi wa kipindi kipya cha Clouds TV.picha zote na Jiachie Blog









No comments:
Post a Comment