na zinakula nyomi kama kama na kwa bei poa kabisa,yaani nikimaanisha kituo hadi kituo nauli yake ni sh. 300 tu.haya ni maendeleo makubwa sana kwa kweli,maana zinasaidia sana kuwafikisha wakazi wa jiji hili kila mahala waendako.
Sasa ninaweza kuelewa kwa nini Dr JK aliwaahidi wanawake wajawazito kuwapelekea bajajs!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMungu akuongezee neema Dr.