HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 22, 2011

wakazi wa magomeni wailalamikia tanesco kwa kuwaletea transfoma kimeo

moja ya ujumbe uliowekwa katika transfoma hiyo ambayo inasemekana imekuwa ikulipuka mara kwa mara toka siku ilipobadirishwa.
Hii ndio transfoma mpya iliyowekwa mara baada ya kutolewa ile ya zamani kwa kuonekana imechoka.lakini hii waliyoiweka ndio inalalamikiwa kila siku kutokana na kulipuka mara kwa mara na kusababisha matatizo ya umeme katika eneo hilo na kuona ni afadhali ya ile yz zamani iliyoondolewa.Transfoma hii ipo pale Magomeni mtaa wa Idrissa kama unaelekea Morocco Hoteli.haya kazi kwenu sasa,mie nishafikisha ujumbe.
halafu mbaya zaidi ipo katika eneo la makazi ya watu.
ujumbe mwingine huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad