HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 17, 2011

wadau wa mobile monday wakutana tena leo

Mmoja wa waanzilishi wasimamizi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo),Anthony Kigombola akizungumza katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Mmoja wa waendeshaji wa mtandao wa E FULUSI AFRICA,Hafiz Juma akitoa ufafanuzi juu ya matumizi mtandao wao kwa matumizi ya kijamii katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Mwaendeshaji wa mtandao wa MAX COM,Juma Rajabu akitoa ufafanuzi juu ya matumizi mtandao wake katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Kiongozi wa Mkutano huo kwa siku ya leo,Dr. Raphael Mushi akitoa ratiba na mpangilio mzika wa mkutano huo.
Mdau kutoka kampuni ya simu ya Airtel akichangia mada katika mkutano huo.
Mdau kutoka PUSH MOBILE nae akichangia mada.
Mdau Innocent Ephrahim kutoka Vodacom akitoa maelezo ya matumizi ya huduma za M-PESA kwa wataalam wa ICT waliohudhuria kwenye mkutano huo uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Baadhi ya wadau na wataalam wa ICT wakiofika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar wakifuatilia mkutano huo.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad