HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 15, 2011

unakumbuka nini ukiona madenti kama hivi????

kwa upande wangu nakumbuka ilikuwa ikifika muda wa kutoka shuleni kama hivi stendi ya kwanza ilikuwa kwa msela flani hivi alikuwa akikaanga mihogo maeneo ya nje ya shule,basi hapo lazima niko kitumbo ndii then ndio nielekee home,yaani ilikuwa ni raha sana kwa kweli.hebu tukumbushe na wewe ilikuwaje kipindi cha shule ya msingi.

1 comment:

  1. ............. kengele ikipigwa tu, kosa ...... sie tuko mlangoni, kila mtoto wa kike akipita anacho ! akipita anacho ! daaah noma kweli wengine nikiwaona leo najisikia vibaya kweli, iabidi nipotezee tu!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad