HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 7, 2011

shimo hili sasa lapigwa tepe

hapa ni sehemu iliyokuwa ikitupwa takataka pale maeneo ya Makumbusho,lakini kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ilipopita leo imekuta taka zote zimetolewa na kupigwa tepe ya uashiriaji kwamba bado haijafunguliwa rasmi.sasa sijui itafunguliwa lini tena kwa mara nyingine??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad