Gari Aina ya Volkswagen Passat TDI Sports Inauzwa.Mwaka - 1999ina Open Roof,ABS,A/C,Driver Air Bag Protection.Ni Automatic Gear.Bei maelewano.kwa mawasiliano +255 (0) 659 528 446 (kwa wanunuzi tu,dalali haitajiki)inavyoonekana kwa ndaniMbeleNyuma na Ubavu wa kulia unavyoonekana.Ina buti kubwa la kutosha kwa mizigo mbali mbali.