
sehemu ya vikwangua anga vilivyopo Mbagala rangi tatu vinavyoonekana leo kama vilivyonaswa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo.

Utaalam uliotukuka katika barabara ya Kilwa road kama ilivyonaswa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa maeneo ya Mbagala K.T.M.

Maeneo ya Mtoni Mtongani leo hii.

Eneo la Mtoni kwa Aziz Ally kuelekea mjini kama inavyoonekana sasa.

Daraja la Treni la Mtongani.

Maeneo ya Temeke Sudan mchana wa leo.

Mtaa wa Uzuri,Temeka mwembeyanga leo.

Barabara ya Mwembeyanga kuelekea Temeke Usalama.
No comments:
Post a Comment