
maana nimejiuliza maswali mengi sana lakini sijapata jibu hata moja,maana siku za nyuma hakukuwa huu upenyo hapa wa kuingia mtaa wa Zanaki kutokea barabara ya bibi titi.siku za hivi karibuni nikaona mafundi wengi tu wakifanya mpango wa kutengeneza huu upenyo wa kuingilia njia hiyo.lakini cha ajabu ni kwamba baada ya kupatengeneza vizuri wamepaziba tena kwa namna nyingine.sasa sijui walifikiria kitu gani mpaka wakaamua hivi??
Hiyo ndio Tanzania yetu bwana, hapo pesa ishaondoka ndo wanagundua kumbe walichemsha.
ReplyDelete