
Geti kuu la kuingilia bustanini hapo.

Sehemu ya kucheza watoto.

Sehemu ya kupumzika na upande mwingine watoto wakiendelea kucheza.

Ndege ya kushezea watoto.

sehemu ya mapumziko.

upande huu wanafunzi wengi wa vyuo hupenda kukaa na kujisomea.yaani inapendeza sana kwa kweli.sijui ni kwanini ile bustani ya mnazi mmoja,jijini Dar inashindikana kufanyika kitu kama hiki??maana kila ukifika pale ni makufuli tu yananing'inia magetini.
No comments:
Post a Comment