kamera ya Mtaa Kwa Mtaa iliwanasa watoto hawa wakikatiza katikati ya maji ya mvua yaliyotuama katika viwanja vya Biafra,Kinondoni na ili hali kuna sehemu iliyokuwa kavu kabisa kwa wao kupita.sasa sijui ndio mambo ya utoto au ni namna gani??
No comments:
Post a Comment