Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Mh. Mohamed AbdulAziz akifurahia jambo na Mbunge wa Kilwa Kaskazini,Mh. Multaza Mangungu pamoja na Mdau wa Soka nchini jina limenitoka kidogo wakati wa mchezo kati ya Kilimanjaro Stars na Somalia katika uwanja wa Taifa jijini Dar juzi.

No comments:
Post a Comment