HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 7, 2010

vodacom yaipiga jeki michuano ya CECAFA Tusker cup

Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kushoto)akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 190 Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye,kwa udhamini wa shindano la kombe la Tusker,katikati Makamu Rais wa TFF Athumani Nyamlani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad