HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 3, 2010

Urban Purse yaadhimisha mwaka mmoja wa mafanikio

KESHO JUMAMOSI TAREHE 4/12/2010 KUTAKUWA NA PARTY YA UKWELI KUADHIMISHA MWAKA MMOJA KATIKA BIASHARA.

UTAWALA WA URBAN PULSE UNAWAOMBA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI, WAPENZI MASHABIKI,NA NA NUGU ZETU TOKA TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA, BURUNDI CONGO NA WAAFRIKA WOTE, WAJE KUSHEHEREKA NASI KATIKA SIKU HII MUHIMU
URBAN PULSE INAWAKARIBISHA WOTE

£5 Kiingilio KUANZIA 10:00PM zaidi baada ya 00.00PM
@ CLUB AMBASSADOR.
20 LONDON ROAD.BARKING IG 118AJ

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad