Salam,
URBAN PULSE inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walioweza kufika kwenye party ya kusherekea Anniversary ya Urban Pulse Creative Media iliyofanyika Club Ambassafor London Jumamosi 4th Dec 2010.
Asanteni Sana & stay tune for More up coming Events
URBAN PULSE TEAM
No comments:
Post a Comment