
Mshiriki wetu wa pekee aliebaki katika shindano la Tusker Project Fame 2010, Peter Msechu amefanikiwa kuingia fainali za shindano hilo,kwa hivyo kikubwa kinachohitajika hapa ni kumpigia kura nyingi tu ili aibuke mshindi.
Hivyo tumpigie kura mshiriki wetu PETER MSECHU kwa kutuma ujumbe mfupi,andika TUSKER9 halafu tuma namba 15522,kwa kufanya hivyo utakuwa umempa ushindi mshiriki wetu na pia kwa Tanzania.
Kumbuka upigaji kura unafungwa leo jioni mnamo saa 12pm.
No comments:
Post a Comment