HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 17, 2010

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara atembelea migodi ya Makaa ya Mawe ya Ngaka, Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akipewa maelezo na wataalamu kuhusu upatikanaji wa makaa ya mawe na uwezekano wa kuzalisha nishati ya umeme katika eneo la Ngaka, Wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu, akipewa maelezo ya hali halisi ya mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka uliopo Mbinga mkoani Ruvuma. Wanaotoa Maelekezo ni waratibu wa Mradi huo.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh LazaroNyalandu akikagua mojawapo ya maeneo ambapo utafiti unaendelea kufanyika kuhusu upatikanaji wa makaa yam awe katika eneo la Ngaka, Mbinga, Ruvuma. Wengine ni maafisa kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa NDC, watafiti na waandishi wa Habari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad