
Kituo cha mabasi cha mji wa Bagamoyo.

Sehemu ya soko la mji Bagamoyo kama linavyoonekana.

Kina dada wa Mji huu wakipiga pedeli kuelekea katika mishe mishe zao.

Mbuzi wa Mwinyi wa Bagamoyo wakitabaruku katika barabara za mji huu.

Pamba za Kumwaga.

Mambangozz

Kiota kipya ndani ya Mji wa Bagamoyo kama kionekanavyo.

Moja ya majengo ya Longi Taimu yanayopendezesha mji huu.

Kitaa cha Mji mkongwe ndani ya Bagamoyo.

Moja ya kikwangua anga cha Longi Taimu kikionekana kutokea usawa wa Bahari.

Kitu kikipanda,hii ni Hoteli ya Oceanic Bay ambayo iliteketea kwa moto miaka kadhaa iliyopita na sasa kinarudi tena kivingine.

Mandhari ya kuvutia katika mji huu.

Mitaa ya Kerege hiyoooo..... kuelekea mji wa Bagamoyooooo.....
No comments:
Post a Comment