HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 10, 2010

Kilimanjaro stars ni raha tupuuu.....

Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakishangilia kutinga fainali baada ya kuwatungua Uganda kwa penati 5-4 katika gemu lililopigwa jioni ya leo pale neshno stadiumu.Kilimanjaro Stars itakutana na Ivory Coast katika fainalo ya mashindano ya Tusker Challange Cup siku ya jumapili pale pale Neshno.
Furaha ya Ushindi.
John Boko wa Kilimanjaro Stars akiribu kutapa kucheka na nyavu lakini hakufaniliwa.kwa kweli gemu la leo lilikuwa ni la kuvutia na lenye msisimko mkubwa sana.hadi mwisho wa mchezo,Kilimanjaro Stars iliibuka kidedea kwa kuinyuka Uganda bao 5-4 na kuwafanya stars kutinga fainali bila longolongo.
Mrisho Ngassa akifanya vitu vyake mbele ya beki wa Uganda,Walusimbi Godfrey.
Refarii wa mshezo wa leo,Davies Omweno akipiga storo mbili tatu na makiwa wa Kilimanjaro Stars,Juma Kaseja pamoja na Odongkala Robert wakati wa kupigiana petati kwa timu zote mbili.
Wapiganaji wa BBC wakienda laivu bila chenga katika libeneke lao.
Kila Mtaznania amefurahia usindi wa Stars leo.
Kitu wavuni huku Kipa wa Uganja akisindikiza kwa macha.
Wazee wa kazi wakiwakilisha.
Stars leo hadi raha.....

1 comment:

Post Bottom Ad