HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 29, 2010

kamuzi la T.I.D katika uzinduzi wa SIFAI @ Club Bilicanas

Mtu mzima AY pamoja na mtu mzima T.I.D wakifanya mambo katika pini la "Sifai" lililobeba albam iliyozinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa club bilicanas.
Mwanadada Lady Jay Dee akipitisha shavu lake katika uzinduzi wa pili la "Sifai" la mtu mzima T.I.D lililoporomoshwa kwa umoja wake pamoja na AY.
T.I.D akionyesha umahiri wake wa kushambulia jukwaa.
Shemeji yetu kwa dada Elizabeth Gupta,Kelvin akienda sambamba na T.I.D katika remix ya pini la Siamini lililomtambulisha T.I.D katika tasnia ya Muziki.kiukweli shemeji yuko fiti maana aliangusha madude ya ukweli kinoma.
Dada uzalendo ulimshinda na kuamua kupanda jukwaani na kumtunza mzee,huku T.I.D akiendelea kumuundanishia madudezzz.
Safu ya ushambuliaji ya Top Band ikifanya mambo yake.
Mmoja wa Densaz wa Top Band akiyarudi magoma kwa staili ya kipekee huku umati wa watazamaji ukimuangalia.
mambo yetuu yakeeeee hayakukosekana kama muonavyo hapa.
Dada na Shemeji.
Wadau wakifuatilia kamuzi hilo.
Wadau wa Filamu za kibongo.
Wadau.
Mzee wa Commercial AY.
Mtoto wa Mama Said ukipenda waweza muita Chegge.
Vichwa makini hivi wadau.
Wazee wa kazi,toka shoto ni Ngwer,Mansour na Jaffaray.
Omar Baraka,Sam Machozi na Mdau.
Nikiwa mzigoni huwa sitaki story na mtu.

Kaka Frank Mtao akiwa na wadau wengine wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa albam ya T.I.D usiku wa kuamkia leo ndani ya club bilicanas.

1 comment:

  1. Huyo Mpopo anataka karatasi za bongo hakuna penzi hapo ni paper 2 watu wameona bongo ni deal siku hizi

    ReplyDelete

Post Bottom Ad