HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 14, 2010

Fainali za BSS ni Desemba 17

Mkurugenzi wa Benchmark Productions,Madame Ritha Paulsen akizungumza katika mkutano wa kutangaza siku ya fainali za BSS 2010 kwa vyombo vya habari,uliofanyika mchana huu Savannah Lounge,Benjamin Mkapa Tower,jijini Dar.Kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe.
Meneja Mkuu wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano wa kutangaza siku ya fainali za mashindano ya BONGO STAR SEARCH uliofanyika mchana huu Savannah Lounge,Benjamin Mkapa Tower.kushoto ni Mkurugenzi wa Benchmark Productions,Madame Ritha Paulsen akifuatilia mkutano huo.Fainali hizo zimepangwa kufanyika Desemba 17,2010 katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City,jijini Dar
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi mil. 30 kwa ajili ya mshindi wa kwanza wa mashindano ya hayo ya Bongo Star Seatch 2010 kwa Mkurugenzi wa Benchmark Productions,Madame Ritha Paulsen.katikati ni Mratibu wa BASATA,Bi. Vicky Temu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad