
kekizz

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akikata keki huku akiwa amezungukwa na Wafanyakazi wa Vodacoma walikuwepo katika kampuni hiyo kwa miaka yote 10 tangu kuanzishwa kwake,katika pati iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Mwamvita Makamba ikiwa ni tuzo ya heshima kutokana na ufanisi wake wa kazi pamoja na kuwa mshauri wake wa karibu sana katika mambo mbali mbali ya kazi.kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Vodacom,Stella Kiwango.

Mwamvita na Hazbend wake

Da' Nelusigwe Mwangota akiwa na tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kati).kulia ni Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Vodacom,Stella Kiwango.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akizungumzia mafanikio makubwa waliyoyapata katika kipindi chote cha miaka 10 ya utoaji huduma kwa kampuni hiyo katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukimbi wa Mlimani City,jijini Dar.

wakuu mbali mbali wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu.

Meza ya Wakuu wa Vodacom Tanzania wakiangalia video fupi ya iliyoonyesha mambo mengi yaliyofanya na Kampuni hiyo tangu ilipoanza.

Burudani ya Muziki ikiendelea.

Sarakasi kwa vijana hawa

ngoma za asili pia zilitawala katika hafla hiyo.

wadau mbali mbali wakikuwepo katika hafla hiyo.

Da' Mwammy Mlangwa akiwa na Hazbend wake.

Wadau wa Vodacom wakifuatilia Speech ya Mkurugenzi Mkuu.


Kila mtu alikuwa makini kumsikiliza Mkurugenzi mkuu.


hivi kumeingia mtindo wa kina dada TZ kuolewa na wazungu? tena dada wa kiislam wanachowapendea kitu gani hali wa TZ WENZAO WAPO, MAMBO YA PESA BWANA, WENGINE WANAONA DILI HILO LOH, WANATIA HURUMA
ReplyDelete